SHIRIKI. BUNI. JIPATIE.
Fursa za campaigns, bidhaa na mawazo kutoka brands mbalimbali — bila kujali una followers wangapi.
Huna followers wengi? Huna tatizo.
Woguto haijengwi kwa influencers pekee. Unaweza kushiriki kwa kusambaza campaign, kutoa wazo, ku-connect watu, kushiriki challenge, au kusaidia brand kufikisha bidhaa yake kwa watu wanaoizunguka.
🔥 Fursa Zinazoendelea
Campaigns, bidhaa na idea challenges kutoka brands — chuja kwa aina.
Naweza kufanya nini Woguto?
Njia nne za kushiriki — chagua inayokufaa.
Sambaza
Shiriki campaigns za brands na watu unaowafahamu.
Buni
Toa idea inayoweza kutumika kuboresha bidhaa halisi.
Shiriki
Jiunge na challenges na campaign za ubunifu.
Pata Reward
Baadhi ya opportunities zina rewards kulingana na masharti ya campaign.
Fursa Unazoweza Kukosa
Maelezo kamili yanafunguliwa baada ya kujiunga.
Wazo lako linaweza kuwa bidhaa ya kesho.
Una wazo? Ilete. Brand inatafuta watu kama wewe — si wataalamu, ni watu wenye mawazo.
Toa WazoWoguto Inafanyaje?
Wazi na rahisi kueleweka — hakuna ahadi za uongo.
Brands zinachapisha campaigns
Kampuni na brands zinaleta fursa halisi za kushiriki.
Wanachama wanachagua fursa
Unachagua campaign, bidhaa au idea inayokufaa.
Unakamilisha kinachotakiwa
Kila campaign ina masharti yake maalum ya kushiriki.
Masharti yanahakikiwa
Timu ya Woguto inathibitisha ushiriki kabla ya reward.
Reward zinatolewa kulingana na masharti
Kila campaign ina masharti yake ya reward — hatuahidi kiasi kimoja kwa wote.
Woguto si njia ya "kupata pesa haraka." Kila fursa ina masharti yake, na reward hutegemea campaign uliyoshiriki na jinsi ulivyokamilisha masharti yake.
Miamala ya Hivi Karibuni
Malipo yanayotoka kwa njia ya M-Pesa, HaloPesa, Mixx by Yas na Airtel Money.
Wanachama Wanasemaje?
Watu wa kawaida, wakishiriki fursa za kawaida.
"Sikuwa na followers wengi, lakini niliweza kushiriki campaign ya kwanza kwa kusambaza tu kwa jamaa na marafiki. Ilikuwa rahisi kuliko nilivyofikiri."
"Nilitoa wazo langu kwenye Idea Lab bila kutarajia lolote — nikashangaa kuona linazungumzwa na timu. Huna haja ya kuwa mtaalamu."
"Nilijiunga nikitaka kujaribu tu. Nikagundua kuna campaigns nyingi zinazofaa watu wa kawaida kama mimi — si influencers pekee."
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Bado una wasiwasi? Hapa kuna majibu ya haraka.
Nahitaji kulipa chochote kujisajili?
Hapana. Kujisajili Woguto ni bure kabisa. Baadhi ya campaigns zinaweza kuwa na masharti yao maalum, lakini kufungua akaunti hakulipiwi.
Nahitaji followers wengi kushiriki?
Hapana. Campaigns nyingi haziitaji followers kabisa — zinahitaji ushiriki, mawazo, au kusambaza taarifa kwa watu unaowafahamu.
Nitalipwa vipi endapo nashiriki?
Kila campaign ina masharti yake ya reward. Baadhi zina sampuli au vocha, nyingine zina reward kulingana na ushiriki wako. Maelezo kamili yanaonekana baada ya kujiunga.
Naweza kushiriki campaign zaidi ya moja kwa wakati mmoja?
Ndiyo. Unaweza kuchagua campaigns, bidhaa, au idea challenges nyingi kadri unavyopenda, kulingana na masharti ya kila moja.
Nikiwa na tatizo, nawasiliana na nani?
Timu ya Woguto inapatikana kupitia WhatsApp na akaunti yako mara utakapojisajili.